MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAARIFA YALIYO MUHIMU…
“The most important knowledge is that which guides the way you lead your life.” – Leo Tolstoy Tunaishi kwenye zama za mafuriko ya maarifa na taarifa. Vitabu vilivyoandikwa ni vingi mno, kiasi kwamba hakuna anayeweza kusoma hata asilimia 1 tu ya vitabu vyote. Makala, video na sauti zenye mafunzo mbalimbali