MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2150; Nguvu Unazozitawanya Hovyo…
Nguvu, muda na pesa ni rasilimali muhimu sana kwenye safari ya mafanikio. Muda tumekuwa tunauzungumzia sana, jinsi ambavyo unapaswa kutumia fedha kuokoa muda badala ya kutumia muda kuokoa fedha. Tumejifunza sana kuhusu ukomo wa muda, kwamba ukishapotea haurudi tena, hivyo tunapaswa kuwa na ubahili nao kuliko tunavyokuwa na ubahili na