MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2153; Ni Msukumo Kutoka Ndani Au Wivu?
Kikwazo kikubwa kinachowazuia watu kufanikiwa kwenye jambo lolote lile wanalofanya, ni kuanza kwa sababu zisizo sahihi. Iwe ni kazi ambayo mtu amechagua kufanya au biashara, kuna sababu kuu mbili za mtu kuingia kwenye kitu hicho. Sababu ya kwanza ni mtu kupenda kitu hicho kutoka ndani yake au kukichagua na kuwa