MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2158; Bila Namba Unajidanganya…
Watoto wadogo, huwa wanapelekwa kliniki kila mwezi ambapo pamoja na mambo mengine, wanaangaliwa ukuaji wao. Ili kujua kama wanakua au la, kuna namba huwa zinafuatiliwa na kubwa kabisa ni uzito na urefu. Huwezi kusema kama mtoto anakua au hakui kama huna namba hizo mbili na ndiyo maana huwa zinapimwa kila