MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2162; Kufyeka Au Kung’oa?
Wengi wetu tumetokea familia zinazojihusisha na kilimo au tunafanya kilimo. Hivyo tunaelewa vizuri sana kuhusu magugu yanapokuwa shambani. Magugu huwa yanazuia mazao yaliyopandwa yasipate virutubisho na kukua vizuri, kwa sababu yananyonya rasilimali nyingi za ardhi. Ukitaka kuondoa magugu shambani, kuna njia mbili unaweza kutumia. Njia ya kwanza ni kuyafyeka au