MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MENGI YANAYOKUSUMBUA, HAYATATOKEA…
“I am an old man and have known a great many troubles, but most of them never happened.” —MARK TWAIN Kila ukiifikiria kesho yako, kuna mambo mengi yanakusumbua. Yanakupa hofu na wasiwasi mkubwa. Lakini leo hii ukichukua nafasi ya kujikumbusha mambo ambayo yamewahi kukusumbua huko nyuma, utagundua mengi hayakutokea kabisa.