MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2165; Nasa Kama Sumaku…
Sumaku huwa ina tabia ya kunasa, lakini huwa hainasi kila kitu. Sumaku haiwezi kunasa pamba, wala plastiki. Ila sumaku inapokutana na chuma, inakinasa kweli kweli. Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kutoka kwenye sumaku, kuhusu kuchagua watu wa kuambatana nao na kuachana na wengine. Tunaitumia sumaku kwenye vitu ambavyo inavivuta na