MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2167; Ni Wakati Mambo Yanapokuwa Magumu…
Wakati mambo ni mazuri, mtu anaweza kuahidi na kufanya kama anavyoahidi. Kama ilivyo kwa bahari tulivu, kila nahodha anaonekana ni mahiri. Au hali ya uchumi inapokuwa nzuri, kila mtu anaonekana anafanya vizuri. Lakini pale mambo yanapokuwa magumu, ndipo tunapata nafasi ya kujua nani kweli yuko vizuri na nani anaigiza. Warren