#TAFAKARI YA LEO; MAGUMU YANAKUIMARISHA…

By | December 7, 2020
“Man needs difficulties. They are necessary for health.” – Carl Jung Huwa hatupendi kukutana na magumu kwenye maisha, Lakini magumu hayo ni muhimu sana kwetu, Kwa sababu ndiyo yanayotuimarisha. Mti unaoota eneo ambalo ni gumu, hakuna maji, kuna upepo mkali huwa unakuwa mti imara kuliko unaoota eneo lenye maji mengi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz