MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2169; Kikiwa Muhimu, Unawekeza Kweli…
Kitu kinapokuwa muhimu kwa mtu, hufanya uwekezaji wa kutosha kwenye kitu hicho ili apate matokeo mazuri kwenye kitu hicho. Angalia pale mtu anapoumwa, atafanya awezavyo ili apate matibabu sahihi na aweze kupona. Angalia kwenye harusi, hata kama mtu ni masikini kiasi gani, atapambana awezavyo harusi iweze kwenda vizuri. Atahakikisha gharama