MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2171; Bila Ya Ukinzani…
Tusingeweza kutembea duniani, maana tungekuwa tunateleza tu. Tusingeweza kuanzisha moto. Mashine zisingeweza kuwashwa wala kuzimwa. Ndege zisingeweza kupaa angani. Lakini ukinzani huo… Unamaliza soli za viatu, Unafanya vifaa vya mashine viishe haraka, Unapelekea hitaji ya nishati kubwa kuendesha mashine mbalimbali. Unaweza kuona jinsi asili inavyofanya kazi hapo, ukinzani unazuia vitu,