MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2174; Wema Wako Usikuponze…
Ipo kauli ya Kiswahili inayosema wema huzaa dhambi. Ni kauli ya kutahadharisha kwenye wema ambao mtu anakuwa nao kwa sababu kuna wakati unampofusha na hatimaye kuleta matatizo makubwa. Upofu wa wema uko kwenye mtu kudhani wengine nao ni wema kama wao. Mara nyingi watu ambao ni waaminifu ndiyo huwa wanaishia