MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; AMINI KWENYE MATENDO…
“Do not believe in words, yours or others’; believe in the deeds.” – Leo Tolstoy Kusema ni rahisi, Kupanga ni rahisi, Lakini kuchukua hatua kwenye yale ambayo mtu anasema na kupanga siyo rahisi. Hivyo unachopaswa kuamini kwako mwenyewe na hata kwa wengine siyo maneno, bali matendo. Usidanganyike na kile watu