MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2175; Sumu Inayoua Taratibu…
Kuna sumu ambazo ukitumia unadhurika mara moja, yaani matokeo yake ni ya papo kwa hapo. Halafu kuna sumu ambazo huwa madhara yake ni ya muda mrefu, yaani matokeo yake yanahitaji muda mpaka yaanze kuonekana. Huwa tunahofia zaidi sumu za matokeo ya haraka kuliko za matokeo ya muda mrefu. Lakini kama