MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HAINA HARAKA LAKINI INAKAMILISHA…
“Nature does not hurry, yet everything is accomplished.” — Lao Tzu Asili huwa haina haraka, lakini huwa inakamilisha kila kitu. Asili huwa inafanya kila jambo kwa wakati wake na hivyo kukamilisha kila kitu. Lakini sisi na haraka zetu tunaacha mengi ambayo hatujakamilisha. Tuna mengi tunafanya na kuishia njiani. Pamoja na