MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2176; Hakuna Anayekosea…
Moja ya vitu vikubwa sana nilichojifunza kwenye kitabu cha THE PYSCHOLOGY OF MONEY kilichoandikwa na Morgan Housel kuhusu maamuzi ya kifedha ni kwamba hakuna anayedhani hayuko sahihi. Kila maamuzi ya kifedha ambayo anayafanya mtu, yako sahihi kwa upande wake na kwa hali anayokuwa nayo wakati anafanya maamuzi hayo. Hili ni