MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2177; Wakati Wa Kufanya Maamuzi Muhimu…
Watu wengi wamekuwa wanashindwa kufanya maamuzi yenye manufaa kwao, hasa pale maamuzi hayo yanapokuwa muhimu na magumu. Hiyo inatokana na kutoyapa uzito wa kutosha maamuzi hayo na kutengeneza mazingira yatakayosaidia maamuzi hayo yawe bora. Wengi wanaruhusu hali fulani ziingilie maamuzi yao kitu kinachofanya yasiwe bora. Kuna makosa matatu ambayo watu