MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2178; Nunua Kabla Hujauza…
Watu hawawezi kununua kitu unachouza kama hawajahamasika, Na huwezi kuwahamasisha watu kununua kitu kama wewe mwenyewe hujahamasika, Na zaidi, huwezi kuhamasika kama hujakikubali kweli kile unachouza. Hivyo kama unataka kuuza vizuri kitu, kinunue wewe mwenyewe kwanza, kikubali kweli kweli, hamasika juu ya kitu hicho. Kadiri unavyokuwa umehamasika kuhusu kitu, ndivyo