MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2179; Sababu Ya Kufanya Kazi…
Kuna sababu kuu tatu za kufanya kazi, Ya kwanza ni uhai, unafanya kazi ili uweze kuishi, upate fedha ya kuyaendesha maisha yako. Hapa unakuwa huwezi hata kumudu mahitaji yako ya msingi bila kufanya kazi. Ya pili ni kuwa na akiba ya kuweza kuyaendesha maisha yako kwa siku zijazo. Hapa unakuwa