MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2180; Kama Umeridhika, Inatosha…
Ni mara ngapi umefanya kazi au jambo ambalo umeridhishwa nalo kweli kweli. Unajivunia kwamba umeweza kufanya kitu ambacho ni tofauti na mazoea, zaidi ya ambavyo umekuwa unafanya. Lakini baadaye mtu mwingine anakuja na kukosoa kile ulichofanya na kukuambia hakuna ulichofanya kabisa, ni kitu cha hovyo. Unakubaliana naye, unajidharau, unaamini kweli