MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MOTO HUMEZA KILA KINACHOWEKWA…
“What’s thrown on top of the conflagration is absorbed, consumed by it—and makes it burn still higher.” – Marcus Aurelius Moto mkubwa na unaowaka kwa ukali, huwa unageuza kila kinachowekwa kwenye moto huo kuwa nishati na kuwaka zaidi. Moto huo hauogopi chochote unachopokea, badala yake unakipokea na kukigeuza moto unaowaka