MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2183; Msongo Wa Mawazo…
Watoto wadogo na wanyama huwa ni nadra sana kupatwa na msongo wa mawazo. Hiyo ni kwa sababu wanaishi kwenye wakati uliopo, wanakabiliana na kilicho mbele yao. Ni vigumu kumkuta kuku akiwa na msongo kwamba kesho yake utakuwaje au kuhusu jana iliyopita au akihofia kuhusu yale yanayoendelea kwenye dunia. Kuku anakabiliana