MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2184; Ni Kujifunza, Siyo Kuiga…
Tunaishi kwenye zama ambazo hadithi za mafanikio ni nyingi kuliko mafanikio yenyewe. Kila mtu anapenda kujua hadithi ya wale waliofanikiwa sana. Pamoja na uwepo wa hadithi hizo, bado wanaofanikiwa ni wachache kati ya wengi wanaotaka kufanikiwa. Na tatizo kubwa ni kwamba hadithi hizo zimekuwa haziwasaidii watu, kwa sababu wamekuwa hawajifunzi