MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNAJITESA BURE…
“There are more things likely to frighten us than there are to crush us; we suffer more often in imagination than in reality.” – Seneca Maisha tayari ni magumu, ila huwa tunazidisha ugumu huo kwa mambo tunayoyafanya. Moja ya mambo tunayofanya na kupelekea maisha kuwa magumu na kujitesa zaidi ni