MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JUKUMU LAKO KUU NI WATU…
“People are our proper occupation, our job is to do them good and put up with them.” – Marcus Aurelius Jukumu lako kuu kwenye maisha ni watu. Wajibu wako mkubwa ni kuwatendea vyema na kuweza kuendana nao bila ya kujali wakoje. Kila kazi au biashara unayofanya, inawalenga watu. Hivyo unapofanya