MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2189; Badili Mchezo…
Hendry Ford, mtu wa kwanza kugundua na kuzalisha magari kwa wingi alikuwa na msimamo wa kuzalisha magari ya rangi nyeusi tu. Alipoulizwa kwa nini asisikilize maoni ya watu na kuzalisha magari ya rangi za machaguo yao? Ford alijibu kama angeuliza maoni ya watu wakati wa kugundua gari, wangemjibu hawataki gari,