MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FUATA USHAURI WAKO MWENYEWE…
Bila shaka umeshatoa ushauri kwa watu wengi kwenye hali mbalimbali wanazopitia. Labda ni mtu alipata msiba na kumpa ushauri kwamba aliyefariki amepumzika pema. Au ni mtu aliyepata hasara au kupoteza kitu na ukamshauri kwamba kwa kuwa bado yuko hai, basi anaweza kupoteza chochote alichopata. Cha kushangaza sasa, wewe ukiwa kwenye