MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2191; Familia Yako Imekushinda, Unahangaika Na Dunia!
Sisi binadamu huwa tunachekesha na kuhuzunisha kwa wakati mmoja. Mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu kufanya huwa hatuyafanyi, bali yaliyo nje ya uwezo wetu ndiyo tunahangaika nayo. Mambo yaliyo muhimu na yenye manufaa kwetu huwa hatuhangaiki nayo, ila yale yasiyo muhimu na yasiyo na manufaa kwetu ndiyo yanatuhangaisha. Huwa tunakazana