MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2192; Kutokufanya Ambacho Hutaki Kufanya…
Huo unaweza kuwa uhuru wa juu kabisa kwenye maisha yako. Uhuru huu huwa hautokei tu, bali unatengenezwa. Na njia kuu ya kuutengeneza ni kufikia uhuru wa kifedha kwanza. Iko hivi rafiki, kitu kinachopelekea ufanye usichotaka kufanya ni kwa sababu ya fedha. Umewahi kufanyika utafiti fulani, ambapo matapeli maarufu waliulizwa iwapo