MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2194; Utakapokuwa Unavuta Pumzi Yako Ya Mwisho…
Siku utakayokuwa unavuta pumzi yako ya mwisho hapa duniani, kuna mambo utajivunia kwa kuyafanya na kuna mambo utajutia kuyafanya. Hiki ni kitu ambacho wengi huwa hawakifikirii mapema, lakini wanapofika ukingo wa maisha yao ndiyo wanapata nafasi ya kuyatafakari maisha yao, huku wakiwa hawana cha kubadili. Lengo lako kwenye maisha ni