MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NAIISHI LEO…
Wakati pekee ambao nina udhibiti nao ni wakati uliopo. Siku pekee ninayoweza kuitumia kufanya makubwa ni siku hii ya leo. Jana imeshapita, chochote nilochofanya au kushindwa kufanya siwezi kukibadili. Kesho bado haijafika, chochote ninachohofia kuhusu hiyo kesho siwezi kukiathiri. Lakini leo, iko kwenye mikono yangu, ipo ndani ya udhibiti wangu,