MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2195; Fanya Kwa Muda Mfupi…
Kuna majukumu ambayo unapenda kuyafanya, ambayo upo tayari kuyafanya kwa muda mrefu iwezekanavyo, haya siyo shinda kwako kama ni majukumu muhimu. Ila kuna majukumu ambayo hupendi kuyafanya kabisa, kila ukifikiria kuyafanya unajikuta ukiahirisha na kupanga kufanya mambo mengine. Tatizo la majukumu haya yanakuwa ni muhimu sana, kiasi kwamba usipoyafanya basi