MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAKOSA YA JANA…
Kila mtu huwa anakosea kwenye maisha. Unapanga hivi lakini unafanya mengine. Unajua unachopaswa kufanya lakini hukifanyi. Hakuna asiyekosea. Lakini kukosea mara moja siyo kikwazo cha mafanikio, bali kukosea kwa kujirudia rudia ndiyo kikwazo. Makosa uliyofanya jana usiyaruhusu yaendelee leo. Badala yake yatambue na kisha leo chukua hatua sahihi. Wanasema kosa