MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2196; Njia Bora Ya Kuuza…
Tasnia ya mauzo imekuwa inachukuliwa kama isiyo ya uaminifu, ambapo wauzaji hutumia kila mbinu kumshawishi mtu kununua kitu ambacho hakihitaji. Ni kweli kuna wauzaji wengi wenye mtazamo huo, ambao kwao wanachojali ni kuuza na kupata fedha, bila kujali anayenunua kitu hicho kina manufaa kwao au la. Wauzaji hawa huwa wanajisifia