MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2197; Mabishano Yasiyo Na Mwisho…
Mijadala inayohusu dini, siasa, michezo na mapenzi, huwa haina mwisho au watu kufikia muafaka. Hiyo ni kwa sababu watu huingia kwenye mijadala hiyo wakiwa tayari wana upande, na upande waliopo umebeba sehemu ya utu na maisha yao. Mtu anapoingia kwenye mjadala au mabishano yanayohusu dini, tayari anakuwa upande fulani wa