MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2198; Unachopaswa Kujua Unapoamua Kuyaishi Maisha Yako…
Asilimia zaidi ya 90 ya watu kwenye jamii hawaishi maisha yao. Badala yake wanaishi maisha ya maigizo, maisha ya kufuata mkumbo. Wengi wanaishi maisha ya kufanya kile kinachofanywa na wengine. Kuishi hivyo ni rahisi, hakuna atakayekusumbua, kwa sababu unafikiri, kusema na kufanya kama wengine wanavyokubali. Lakini ukichagua kuyaishi maisha yako,