MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KABLA HUJAWEKA JUHUDI…
Kabla hujaweka juhudi kwenye chochote unachofanya, hakikisha kwanza hicho ndiyo kitu sahihi kwako kufanya. Kabla hujazidisha mbio, hakikisha uko kwenye uelekeo sahihi. Kwa sababu haijalishi ni juhudi au mbio kiasi gani unaweka, kama unachofanya siyo sahihi, unazidi kujipoteza. Siku zinaanza na kuisha na kila siku unakuwa ‘bize’ na kuchoka kweli