MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2200; Tatua Tatizo Gumu…
Jana tarehe 07/01/2021 dunia iliamka na habari moja kubwa, ya Elon Musk kuwa tajiri namba moja duniani kwa kumpiku aliyeshika nafasi hiyo kwa muda mrefu ambaye ni Jeff Bezos. Wengi wameshangilia ushindi huo wa Musk kuweza kufikia nafasi hiyo kubwa. Lakini wengi hawajui jinsi alivyofika hapo. Miaka zaidi ya 20