MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2202; Umaarufu Feki Na Halisi…
Watu wengi wanapenda umaarufu, ila huwa hawajali ni umaarufu wa aina gani, una manufaa gani na changamoto zipi zinakuja na umaarufu. Umaarufu tunaweza kuugawa kwenye makundi mawili, feki na halisi. Umaarufu halisi ni ule unaotokana na ubobezi ambao mtu amefikia katika kile anachofanya, na ambacho kina manufaa makubwa kwa wengine.