MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUWA CHANYA KUNALIPA…
Katika kila jambo au hali unayopitia, kuwa chanya kunalipa kuliko kuwa hasi. Kuwa chanya kunakuonesha fursa zaidi wakati kuwa hasi kunakuonesha matatizo zaidi. Kuwa chanya kunakupa matumaini wakati kuwa hasi kunakukatisha tamaa. Pamoja na manufaa haya ya kuwa chanya, bado wengi hukimbilia kuwa hasi. Hiyo ni kwa sababu kuwa hasi