MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2203; Fanya Chochote Ili Kujua Cha Kufanya…
Kanuni za kisayansi, hasa kanuni za fizikia, ni kanuni ambazo zinatokana na asili. Hiyo ina maana kwamba kanuni hizo zinafanya kazi kila mahali na kwa kila hali. Moja ya kanuni hizo ni kuhusu mwendo, ambayo inasema kitu kilichosimama kitaendelea kusimama na kilicho kwenye mwendo kitaendelea na mwendo mpaka nguvu ya