MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2204; Wasaidie Wengine Kushinda…
Kama unataka ushindi kwenye maisha, basi wasaidie wengine kushinda. Kwa wengine kushinda, watakufanya na wewe upate ushindi pia, tena ushindi ambao utadumu. Kwa chochote unachofanya, angalia ni kwa namna gani wengine wananufaika kwanza kabla hujaangalia wewe unanufaikaje. Weka maslahi ya wengine mbele kama unavyoweka yao, lakini anza kwa kuangalia maslahi