MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2205; Njia Sahihi Ya Kuzitumia Hisia…
Matatizo mengi tunayokutana nayo kwenye maisha, kwetu wenyewe na kwa wengine huwa yanaanzia kwenye hisia. Tunafanya maamuzi fulani kwa kusukumwa na hisia na baadaye tunagundua hayakuwa maamuzi sahihi kitu kinachofanya tuingie kwenye matatizo. Tunaweza kuzichukia hisia, lakini bila ya hizo, hatuwezi kufanya maamuzi yoyote, tunaweza kufikiri tutakavyo, lakini ili kufanya