MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NATAKA WEWE USHINDE…
Tunategemeana sana kwenye maisha, hakuna anayeweza kushinda peke yake. Ushindi wa mwalimu ni wanafunzi wanaofaulu, ushindi wa daktari ni wagonjwa wanaopona na ushindi wa mpishi ni watu wanaoshiba na kufurahia chakula. Chochote unachofanya, angalia wale unaowalenga wananufaikaje, wajibu wako ni kuhakikisha wanashinda, maana wakishinda hao, ndiyo na wewe unashinda pia.