MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2206; Mambo Muhimu Kujikumbusha Kuhusu Fedha…
Nimekuwa naandika mara nyingi kuhusu fedha na hapa nimekusanya yale muhimu unayopaswa kuyajua kila wakati kuhusu fedha. Siyo mapya, ila ni ya kujisisitizia uyaelewe kwa undani. Ongeza kipato chako, kila wakati pambana kukiongeza. Dhibiti matumizi yako, yasikue kuzidi kipato. Kuwa na akiba ya dharura angalau miezi 6 mpaka 12 ya