MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HISIA NI KAMA MOTO…
Huwezi kufanya chochote bila hisia na huwezi kuwashawishi wengine bila kugusa hisia zao. Hisia ndiyo zinatoa msukumo kwa mtu kuchukua hatua fulani, lakini wengi wamekuwa wanazitumia kwa namna isiyo sahihi. Kwenye ukurasa wa 2205 unajifunza kwa kina namna sahihi ya kutumia hisia zako na za wengine, kwa namna ambayo zitaleta