MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HESHIMU UNACHOJIFUNZA NA KUFANYA…
Kujifunza kitu mara moja haitoshi, unahitaji kurudia rudia. Kufanya kitu mara moja haikufikishi kwenye mafanikio makubwa, unapaswa kufanya mara kwa mara, kwa muda mrefu. Hapo ndipo inapokuja changamoto ya mazoea. Kwa sababu umekuwa unajifunza kitu kwa kurudia, unajiambia tayari unajua. Kwa sababu umekuwa unafanya kila siku, unajikuta ukifanya kwa mazoea.