MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2210; Kila Mtu Anaishi Kwa Matumaini…
Wakati vifo vya ugonjwa wa Ukimwi vilipokuwa vinapamba moto, kipindi ambacho dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo zilikuwa hazipatikani kwa urahisi na kwa wote wenye maambukizi, mtu aliyepata maambukizi aliitwa anaishi kwa matumaini. Ni kama vile mtu akishapata virusi hivyo basi ana tiketi ya uhakika ya kifo na hivyo