MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2211; Safisha Akili Yako…
Wasiwasi huwa ni zao la msongamano wa mawazo na fikra kwenye akili yako. Akili inakosa nafasi ya kutosha kwa yale yaliyo muhimu. Ni kama ilivyo kwenye chumba au ofisi ambayo haijapangiliwa vizuri, ukitaka kutafuta kitu, inakuchukua muda mrefu mpaka ukipate. Muda mwingi unaishia kwenye kupangua vitu visivyo na matumizi na