MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; BADILI MAZINGIRA…
Kama kuna tabia yoyote unayotaka kubadili kwenye maisha yako, anza kwa kubadili mazingira yako. Mazingira yana nguvu kubwa kwenye kujenga na kuimarisha tabia. Angalia ni mazingira yapi unakuwepo wakati wa tabia husika. Mfano kama unasumbuka na hasira, angalia ni wakati gani huwa unapata zaidi hasira, utagundua kuna vitu ukifanya au